JIFUNZE JINSI YA KUTENGENEZA GAME KATIKA COMPUTER YAKO

Habari wapendwa leo nimeamua kukuletea somo ambalo ungelipia katika blog nyingine na somo hilo ni Jinsi ya kutengeneza video game katika Computer yako.

Kabla ya kuendelea ningependa kutegua kitendawili ambacho wengi hamna majibu na ukimuuliza IT ambae yuko karibu na wewe. Na IT huyo hukupa jibu kuwa HAKUNA UWEZEKANO WA MTU MMOJA KUTENGENEZA GAME na wengi miongoni mwenu huvunyika moyo baada ya kusikia hivyo. Ila jibu sahihi ni ndio kwani mtu mmoja anaweza kutengeneza Game katika Computer yake.
Unajuwa miaka ya 90 hapa kuwa na uwezokano wa mtu mmoja kutengeneza Game lakini mtu mmoja alikuwa na uwezo wa kutengeneza Game.
 Kwa nini mtu mmoja alikuwa na uwezo wa kutengeneza Game lakini peke yake alikuwa hawezi kutengeneza Game.
 sababu ni kuwa zamani Designer wa model na Sprite walikuwa wachache kwahio kama ulikuwa unataka kutengeneza Game kwa wakati ule ilikuwa inakulazimu kumuajiri Designer huyo.
Lakini kwa sasa ni tofauti kwani Designer wa Sprite na models wako wengi na wengi wao hutengeneza Sprite na Model na kuziuza na wengine huzitoa bure Bofya hapa ili ku-download Sprite na model Bure. Hivyo basi ili uamini kuwa mtu mmoja anaweza kutengeneza Game endelea kusoma Makala hii au jiunge na Chuo chetu ili uweze kujifunza zaidi.
Na sababu nyingine ni kuwa program za kutengeneza Game ziliuzwa kwa bei kali zaidi kwahio mtu binafsi hakuwa na uwezo wa kumudu bei hio labda kwa makampuni pekee ndiyo yalikuwa na uwezo wa kumudu bei hiyo. Lakini kwa sasa program hizo huuzwa kwa bei nafuu na imani kuwa kila mtu anaweza kumudu bei hiyo na program nyingine unaweza kuzipata bure.
Kumbuka sio kila IT anaweza kutengeneza Game. Kwani Game Maker ni Course inayo jitegemea kama zilivyo kozi zingine na kwa Tanzania Course hii imeanza Kutolewa mwaka 2012 kwahio wajuzi ni wachache.

 Kwani hata katika Chuo ninacho fundisha fani hii ya Game maker.  Mlimani training College. tumeanza kuitoa mwaka 2014. Kwahio na maana kuwa IT wa Tanzania kuwanzia miaka ya 90 mpaka 2012 hawakuwa na ujuzi huo ndio maana walikuwa hawana uwezo wa kujibu Swali hilo. Kwani mpaka sasa vyuo vinavyo toa course hii ya GAME MAKER ni vyuo 6 tu hapa Tanzania kikiwemo chuo Cha Mlimani training College.
Kwahio ili uweze kutengeneza Game lazima ujue mambo yafuatayo
1 lazima uwe na Program ambayo itakuwezesha kutengeneza Game Yako.
Kuna program nyingi ambazo hutumika kutengeneza Game kwahio nitakufahamisha Programu 5 ambazo ni rahisi kutengeneza Game na Program hizo ni.
                                  5. SOUCE ENGENE
         
          Kama utaitaji CD Original ya program hii Tuwasiliane.
                   4. FROSBITE ENGENE
          
           Kama utaitaji CD Original ya program hii Tuwasiliane.
                                       3. CRYENGINE ENGENE
          
          Kama utaitaji CD Original ya program hii Tuwasiliane.
                                       2. UNREAL ENGENE
         
          Kama utaitaji CD Original ya program hii Tuwasiliane.
                                       1. UNITY3D ENGENE
           
          Kama utaitaji CD Original ya program hii ya Unity3D kuanzia Unity3D 4.3 mpaka 5.6 Tuwasiliane.
Baada ya kuziona Programu hizo sasa tunatakiwa ni kuchagua Programu moja kati ya hizo. Mimi nime chagua Unity3D kwani ndio program Bora Zaidi duniani na ndio Programu ambayo inatumiwa na watu wengi Duniani. Kama unataka CD Original ya Unity3D 4.3 mpaka 5.6 tuwasiliane kupitia namba yangu 0718553004 au Email Msafiryo01@gmail.com kwani utapata CD yako original ambayo itakuwa na asset zote .
Baada ya kuchagua Unity3D kama programu ambayo tutakayo itumia kutengeneza Gamu yetu. kwanza ili tuweze kutengeneza kitu chochote katika Computer lazima tuijuwe program husika 50% hadi 80% hivyo hivyo kwa Unity3D itatulazimu tuijua 80% ili tuwe na ujuzi nayo.
Kwaho baada ya ku-Install programu yako ifungue na Itaonekana kama katika picha hapo chini.
                         Muonekano huu ni kwa Unity3D 5.1
                        
Nakama tunavyo ona katika picha yetu hapo juu. kinacho takiwa ni ku-create new Project. Kwa maelezo zaidi fuatilia videos ambazo nime kuandalia. Na baada ya ku-create new project itaonekana kama katika picha yetu hapo chini.
   Unity Interface    
 Baada ya kuchunguza picha yetu hapo juu tumeona program yetu imegawanyika katika sehemu tofauti tofauti na ndizo sehemu ambazo tutaziangalia kwa undani zaidi. Sehemu hizo ni Inspector window, Hierarchy window, project window, Scene View, Main Menu na ToolBar.                                                                 
                                    MAIN MENU
The Main Menu is the menu at the top of the application window. It is organized into a logical set of “tasks” that you would need to access while you work on the project.
                           INSPECTOR WINDO                                     
        
Hierarchy window ukuruhusu kuangalia na ku-edit vitu vyote katika selected object. Kwa sababu tofauti ya objects ni kuwa na Set tofauti.
Kama utachunguza kwa umakini katika Inspector window utaona kitu kinachoitwaTransform na wengi huuliza mashali  mengi na kama hauta ni elewa vizuri katika kipengele hiki basi hatuta elewana mbele ya safari kwani ili tu-Move Object yetu ni lazima tutumie Transform.
Transform ndio main Edit katika Unity3D kwani huwezi ku-edit Object yeyote bila ya kuiusisha transfom kupitia Transform Tool.  Na Transform ni kama inavyo onekana katika picha hapo chini.
                                                                     
Transform imegawanyika katika sehemu kuu Tatu.  Vector, Velocity na Translate
                                        VECTOR
Vector ina maana ya namba ambazo zinapatikana katika Transform.
             Mfano wa Vector
                                          Position (0, 0, 0)
                                          Rotation (0, 0, 0)
                                          Scale (1, 1, 1)

Vector imegawanyika katika Sehemu kuu 4 nazo ni Vector, Vector 2, Vector 3 na Vector 4.
nikisema vector na maana ya namba ambazo zinapatikana katika Transform.  mfano kuna sufuri tatu yaani 0, 0, 0 katika Transfom yetu.  Hivyo basi kila sufuri moja ina maana ya Vector. Hivyo kila sufuri ni vector. kwahio nikisema Vector 1 na maana ya sufuri moja miongoni mwa sufuri Tatu. kwahio Vector 2 ni sufuri Mbili na nikisema Vector 3 Na maana ya sufuri Tatu hivyo hivyo kwa Vector 4 japokuwa Vector 4 katika Unity3D ni Useless.

                                        VELOCITY
Velocity ina maana ya x, y, z nayo piya hupatikana katika Transform. Kwahio kila herufi ina maana yake.
Alama X inawakilisha Horizonal . Na alama Y inamaana ya Vertical na herufi Z inamaana ya forward.
                  Mfano - 1
                                 Velocity.y mfano huu unamaana ya kuwa move object yako vertical.
                                      Velocity.x mfano huu unamaana ya kuwa move object yako Horizonal.
                 Mfano - 2
                                        Position (X, Y, Z)
                                        Rotation (X, Y, Z)
                                        Scale (X, Y, Z)

                           Image result for transform in unity
                                       TRANSLATE
Translate na maana ya Gizmo kama unavyo iona katika picha hapo juu.
                                             

                                          TOOLBAR
        
Kama utachunguza katika picha ya Toolbar hapo juu utagungua imegawanyika katika sehemu kuu 5 nazo ni Transform Tools, Gizmo Tools, Game Player Contols, Layer Visibility na Layerout.
                             HIERARCHY WINDOW
Heirarchy window Huwakilisha kila object katika Scene
                             PROJECT WINDOW
 
Project window huonyesha Library ya Asset ambayo hupatikana na kutumika katika Project yako
                      SCENE VIEW
   
The Scene View hukuruhusu kuona na kuhariri Scene yako.
Swala linguine la ulazima kujuwa ili uweze kutengeneza game ni

                       2. Game Maker
Game maker ni kipengele muhimu kwani ndio kipengele ambacho hukufundisha jinsi ya kutengeneza game lako mwenyewe. Na kipengele hichi cha Game maker kimegawachika katika sehemu mbalimbali nazo ni
Player movement all Direction, Horizontal, Vertical, Jumping and Double Jump
Enemy movement and Patrol
Player Shooting
Enemy Healthy
Enemy Shooting
Player Healthy
Score when Kill Enemy.
Particle
Enemy Flying
Moving Platform
Push Platform
Projecte
Time
Menu
Level Select
Pallarix
Camera Controller
Coin Rotate and Pick Up
Door
Check point
Respawner
Wall climb
Tuishie hapo kwani orodha ni ndefu zaidi tutaona zaidi katika videos nitakazo kuandalia juma lijalo unacho takiwa ni kuwa Update na blog hii ili usipitwe na uhondo huu. Kumbuka orodha  Hii ni kwa Game za Shooting tu.
Na orodha ya Game za RACE na maanisha CAR Race ni
1. Car movement.
2. Car boarder.
3. Add Enemy Car.
4. Enemy Car movement.
5. Enemy Car Spawner Position.
6. End Point Enemy.
7. Effect and Animation.
8. Car Enemy Dead.
9. Next Level.
Navitu vya ziada ni kama Animal movement, Animation, Attack na Patrol.
                  3. Animation.
Huu ndio ukurasa muhimu katika fani hii kwani kama haujui ku-Animation Object yako Basi object hio itakosa mvuto.
                     4. Game Designer.
Game hukosa mvuto kabisa kama uta-Design vibaya Game yako kwani mvuto wa Game uko katika Designer kwahio kuwa makini wakati wa ku-Design game yako.
Hapo nazani utakuwa umekwisha pata program Skill ya kutosha sasa Kuwa Update na Blog hii ili usipitwe na uhondo huu.
                                      MASOMO YAFUATAYO NI
                                                                                   JIFUNZE JINSI YA KUTENGENEZA GAME BILA YA KUJUA LUGHA YA COMPUTER.
                                                           JIFUNZE LUGHA YA COMPUTER.
                                                           JIFUNZE JINSI YA KUTENGENEZA APPLICATION.
                                                          ART KATIKA MODEL NA SPRITE DESIGNER.
                                                          NA MENGINEYO
MASOMO HAYA YATALETWA KWENU NAMI MWALIMU MSAFIRY_OM NA YAKIZAMINIWA NA MLIMANI TRAINING COLLEGE ILIYOPO MKOANI KIGOMA. NA KAMA UTAITAJI KUPATA CHETI CHA GAME DEVELOPER BASI JIUNGE NA CHUO CHETU. wahi mapema kwani nafasi ni chache. Wasiliana na mkuu wa chuo kwa email mlimaniCole@gmail.com

download affinity design hapa


bofya hapa ku download

gee-bee-super-sportster


JINSI YA KU-ROOT SIMU YAKO YA ANDROID NA FAIDA YAKE

Simu zetu za Android zimekua sehemu ya Maisha yetu ya kila siku. Tunazitumia katika Mawasiliano, Kuhifadhi kumbukumbu za muhimu, burudani, biashara, nk. Haya yote hufanywa na Program ambazo huwekwa kwenye mfumo wa simu (Operating System). Programu hizo hubeba maaginzo maalum (Set of instructions) ambazo humwezesha mtumiaji kufanyia mambo mbalimbali kutegemea program hio. Mfano wa program muhimu kwenye simu ni kama vile Opera Mini (humwezesha mtumiaji kufungua kurasa mbalimbali za Intaneti), Calculator, nk.

Program hizo huwekwa sio tu kwenye simu, bali hata vifaa vingine kama vile Computer. Mtumiaji wa Simu au Computer ndie anaeamua program ya kuweka kutegemeana na matumizi yake. Katika miongo michache iliopita zimetengenezwa program nyingi mpya na zenye maboresho makubwa na ya kisasa. Ubunifu uliopo katika program mbalimbali unaleta ukuaji katika Nyanja mbalimbali katika maisha yetu ya kila siku. Program hizi pia zimeleta urahisi na ufanisi. Mfano Calculator, Saa, Vitabu Vitakatifu (Biblia na Kuran), Kamusi, Camera, nk.. vyote vimetengenezewa PROGRAM na kuwa rahisi kuvitumia katika simu muda wowote, mahali popote.

ANDROID NI NINI..??

Android ni Mfumo wa simu (Operating System) ambao unaboreshwa siku hadi siku. Mfumo huu una majina tofauti kutegeana na toleo lake. Haya ni Matoleo (Versions) mbalimbali ya Android kuanzia ya kwanza mpaka ya mwisho;

1. Cupcake (1.5)
2. Donut (1.6)
3. Éclair (2.0 – 2.1)
4. Froyo (2.2 – 2.2.3)
5. Gingerread (2.3 – 2.3.7)
6. Honeycomb (3.0 – 3.2.6)
7. Ice Cream Sandwich (4.0 – 4.0.4)
8. Jelly Bean (4.1 – 4.3.1)
9. KitKat (4.4 – 4.4.4)
10. Lollipop (5.0 – 5.1.1)

Matoleo haya huboreshwa kadri yanavyozidi kutolewa. Kujua toleo la simu yako nenda Settings – About phone – Android Version. Ukikuta Jelly Bean, KitKat au Lollipop hongeara! kwani unatumia matoleo ya mwisho yalioboreshwa!!
Mfumo huu wa Android unafaa kufanyiwa settings mbalimbali na kuwekewa Program mbalimbali ili kumfanya mtumiaji aifurahie simu yake kwa asilimia 100, lakini shida huja kwamba sio kila PROGRAM inayowekwa katika mfumo huu wa Android inakubali kufanya kazi!! Wapo watengenezaji wengi wa program (Software Designers) ulimwenguni. Sasa watengenezaji wa mfumo huu wa Android wamezuia Program ambazo hazijatoka kwao zisifanye kazi kwenye mfumo huo kwa sababu za kimaslahi.
HAPA SASA TUTAPATA KUELEWA MAANA YA KU ‘ROOT’ 

kua ni kuifanya simu ikubali Program zilizozuiwa na watengenezaji wa Android (Android Developers). Ukishai ‘root’ simu yako sasa utakua na uwezo wa kuweka program zinazohitaji ‘root permission’ kwenye simu yako.


JINSI YA KU ‘ROOT’ SIMU YAKO.

Kuna aina za simu ni rahisi sana ku root, lakini nyingine zinahitaji utafiti wa kina na muda wa kutosha. Zipo program nyingi sana zinazoweza kutusaidia zoezi hili. Mojawapo ya Program ambazo zinajulikana sana kwa ku root simu ni kama vile KingRoot, Vroot, Kingoapp Root, SRSRoot, Framaroot, Root Master, z4root, Universal root, Easy root, nk.. Baadhi ya Program hizi zitahitaji Computer, nyingine hazihitaji.
Katika Makala hii tutaelekeza kwa kutumia Program iitwayi KingRoot ambayo inakubali kufanikisha zoezi hili kwenye asilimia kubwa ya simu za Android. Program hii haihitaji Computer. Kuipata nenda Google kisha I isearch na kui download. Kwa msaada uliza……

Maandalizi:

(i) Charge Simu yako, angalao ijae kwa 50%

(ii) Wezesha ‘’Developer Options” kwenye simu yako. Menu hii imefichwa kwa watumiaji wa kawaida. Sisi tunataka kutumia simu zetu kwa 100%. Sasa kuifichua nenda Settings>About phone>Build number. Baadhi ya simu (LG na HTC) nenda Settings>About phone>Software information>Build number. Ukishafika kwenye Build number gusa hapo mara saba (tap 7 times)…mpaka uambiwe “You are now a Developer

(iii) Sasa nenda Settings>Developer options>USB debugging. Weka tiki hapo (kama haipo)

(iv) Nenda settings>Security>Unknown Sources. Weka tiki hapo (Kama haipo).

Hapo maandalizi yatakua ni tayari. Sasa download KingRoot 4.0 (or above) kwa kui search kwenye Google kisha Install kwenye simu yako. Baada ya ku install gusa ‘Open’. Baada ya hapo KingRoot itafunguka na itaitambua simu yako automatically—Model ya Simu na Toleo lake. (Mf. Model: H6 Android 4.4.2). Kama simu yako haijawahi kuwa rooted utaona ‘Root access is unavailable’. Chini gusa START ROOT’. Hapo KingRoot itakua inakomboa simu yako kutoka kwenye kifungo cha maisha…kuwa na subira zoezi hilo litachukua muda kidogo (sio Zaidi ya dak 6)…mpaka utakapoona ROOT SUCCSSFULLT’ DONE!!!!! YOU ARE NOW A SUPERUSER…!!!!!

Ili kuhakikisha kama simu yako imeshakuwa rooted, nenda PlayStore kisha download Root Checker. Ukishai Install na kuifungua gusa VERIFY ROOT’. Ukiona ‘’Congratulations! Root access is properly installed on this DeviceHAPO KILA KITU TAYARI!!!!!

FAIDA ZA KU ROOT SIMU:

1. Utaweza ku update toleo la mfumo wa simu yako (Kuflash). Mfano kama unatomia Android 4.4.2 (KitKat) unaweza kui update kwenda Android 5.0 (Lollipop) Simu ya Android haiwezi kuflashiwa bila kuwa rooted!

2. Hua inatokea simu kuibiwa. Wewe unaesoma Makala hii usiibe simu ya Android siku hizi (ukiokota mtafute mwenye nayo). Nitafute nikupe story!! Sasa zipo program nyingi za ku track simu yako wakati imeibiwa lakini nyingi huondoka kwenye System ya simu yako baada ya kufanyiwa ‘Factory reset’ au kuflashiwa. Kama ume root simu yako, zipo Program za kuitafuta simu yako ambazo hata mtuhumiwa aiflash au aireset….BADO ITAKUWEPO TU! Mfano wa Program hizo ni Cerberus.

3. Utakua na uwezo wa kuweka Program nyingi na nzuri za kuifanya simu yako iwe fasta na kuboresha muonekano (performance and appearance). Pia kuna program za kutunzia chaji, Kuzuia matangazo kutoka Google (mf. AdAway), n.k…. ambazo hazitafanya kazi bila root

MUHIMU;

Rooting inaweza kuharibu kabisa simu yako na kuifanya isiwake tena!! (Mimi hapa sitahusika kwa lolote). Usiogope, hii huwatokea wale wanaokurupuka na kutofuata maelekezo. Mimi binafsi nishairoot simu yangu na za Marafiki zangu zisizopungua 20 bila madhara yoyote kutokea. Fanya utafiti kwanza ni program gani sahihi ku root simu yako, omba ushauri,…..

Pia Rooting inaharibu Warranty ya simu yako. Kama ulipewa Warranty uliponunua simu yako na ukaikuta na tatizo, ukiirudisha haitakubalika. Aidha, inawezekana pia ku’unroot’

MWISHO;

Kwa yeyote ambae ni mdadisi na mtafiti, anaependa kusaidiwa na Technologia, kuna ulazima wa kuroot simu yake. Baada ya Makala hii, wale woote ambao tutaenda sambamba tutaanza kupitia Programs nyingi ambazo zinahitaji Root Permission’. Mie natumia Tecno M3 , baada ya kui root nimeifanyia Settings nyingi sana na ninaitumia katika mambo mengi sana!! ROOTING imeniwezesha hata kubadilisha muonekano wa maandishi system nzimagg

JINSI YA KU-FLASH SIMU ZA TECNO

Kabla ya kuanza kujifunza jinsi ya kuflash simu za Tecno za Android ni vyema kujifunza maana ya baadhi ya maneno ili uweze kuelewa kinachofanyika hapa. Kwa kuanza twende tukaangalie nii maana ya neon Flash au fundi anaposema ana flash simu ana maana gani.
Kuflash simu ni nini ?
Kuflash simu ni neno  linalo tumiwa na mafundi simu likiwa na maana ya tendo la kurudisha au ku-repair mfomo au sehemu ya mfumo wa uendeshaji kwa kuinstall Copy ya mfumo huo ili kufanya simu yako kufanya kazi kama inayotakiwa.

MAHITAJI MUHIMU

1.    USB Data Cable
2.    MT6577 USB VCOM Drivers (Win7/8 na Vista)
3.    SP FLASH TOOl – DOWNLOAD HAPA
4.    ROM ZA TECNO – DOWNLOAD HAPA
5.    Computer – Laptop au Desktop

HATUA

1.    Zima simu yako na utoe betri ya simu yako kama simu yako batrery yake ni ya ndani hakikisha umezima kabisa simu yako.
2.    Fungua program ya SP flash tool

http://i1081.photobucket.com/albums/j360/connected/

3.    Kasha baada ya program hiyo kufunguka bofya palipo andiwa SCATTER LOADING iliyopo upande wa kulia chini kidogo.
4.    Baada ya hapo chagua mahali palipo hifadhiwa ROM ya simu yako. Kumbuka kuwa mara nyingi  file hili linakuwa na format ya txt mfano “MTK6577_Android_Scatter_emmc.txt kumbuka chagua file linalo endana na simu yako.
5.    Weka tiki kwenye vyumba vyote isipo kuwa chumba kilicha andikwa Preloader na DSP_bl hapa ni vyema kwuwa makini ili usiharibu simu yako
6.    Baada ya hapo toa betri kwenye simu yako kasha bonyeza YES kwenye program ya SP FLASH Tool
7.    Kasha haraka chomeka simu yako kasha bofya vibonyezo hivi pamoja vibonyezo ( button) zote mbili za sauti pamoja na cha kuwasha yaani power button.
Baada ya kufuata hatua zote hizo kwa makini utaona simu yako ikianza kupokea File kutoka kwenye Computer. Subiri mpaka imalize na  kama ulifuata hatua sawa utaona meseji ikisema “You have successfully restored the Stock ROM”.

Hapo utakuwa umekwisha flash simu yako 

JINSI YA KUFLASH SIMU ZA SAMSUNG

Kama unafikiria ku-Update simu yako ya Samsung kuna njia nyingi za kufanya ikiwemo njia maalumu ya kutumia Samsung Kies, lakini wengi wetu hua pia Application hiyo ya Samsung Kies haifanyi kazi pia kwa hiyo unabakia na nja moja tu yak u-Update simu yako, zifuatazo ni njia za ku-flash au ku-update Sumsung original.
VITU UNAVYOITAJI

1.    Utaitaji Computer yenye uwezo wa kawaida inayotumia Window 7, 8 au 10.
2.    Waya wa USB Original wa simu yako.
3.    Pia utaitaji Internet at list GB 1 au zaidi.
4.    Utaitaji Software ya Computer iitwayo Odini download hapa
5.    Pia kwa uhakika download na Install Driver za Sumsung kwenye Computer yako . Download hapa
6.    Download Firmware ya simu yako Download hapa.

NOTE: KUMBUKA KUZIMA APPLICATION YA SAMSUNG KIES KABLA UJAWASHA ODINI.

NAMNA YA KU-FLASH

1.    Baada ya kudownload odin 3.09 Extract
2.    Hakikisha Samsung Kies imezimwa kabisa kwenye Computer yako
3.    Zima Simu yako na hakikisha imezima kabisa.
“ Power + Volume Down + Home “ kwa pamoja ilikuweka simu kwenye  “ Download Mode “
4.    Connect Simu yako kwenye PC au Computer Cable Original ya simu yako.
5.    Right Click kwenye Odin kasha select “ Run as administractor “
6.    Hivi ndivyo inatakiwa kuonekana.




7.    Kuna Sehemu ilioandikwa ID:COM inayopatikana upande wa kushoto juu kwenye window ya Computer yako sehemu hiyo itabadilika kuwa rangi ya blue kama simu yako itakuwa Connected vizuri.
8.    Bonyeza “ AP “ kasha weka file liitwalo “.md5 ” kutka kwenye mahitaji Namba 6.
9.    Kumbuka usiweke chochote kwenye sehemu ilioandikwa “PIT” pia hakikisha sehemu iliyoandikwa “RE-Partition” Haijawekwa tiki. Sehemu hii inapatikana upande wa kushoto chini ya Opition.
10.                       Ukisha maliza bonyeza “Start” kuanza ku-Flash simu yako.
11.                       Usiguse USB au Simu yako mpaka itakapo jiwasha yenyewe .


KUMBUKA KUWA MAKINI SANA KWANI UNAWEZA KUHARIBU KABISA SIMU YAKO KAMA UTAKOSEA