Habari wapendwa leo nimeamua kukuletea somo ambalo
ungelipia katika blog nyingine na somo hilo ni Jinsi ya kutengeneza video game katika Computer yako.
Kabla ya
kuendelea ningependa kutegua kitendawili ambacho wengi hamna majibu na ukimuuliza
IT ambae yuko karibu na wewe. Na IT huyo hukupa jibu kuwa HAKUNA UWEZEKANO WA MTU MMOJA KUTENGENEZA GAME na wengi miongoni mwenu huvunyika moyo baada ya kusikia hivyo.
Ila jibu sahihi ni ndio kwani mtu mmoja anaweza kutengeneza Game katika
Computer yake.
Unajuwa miaka
ya 90 hapa kuwa na uwezokano wa mtu mmoja kutengeneza Game lakini mtu mmoja
alikuwa na uwezo wa kutengeneza Game.
Kwa nini mtu mmoja alikuwa na uwezo wa
kutengeneza Game lakini peke yake alikuwa hawezi kutengeneza Game.
sababu ni kuwa zamani Designer wa model na
Sprite walikuwa wachache kwahio kama ulikuwa unataka kutengeneza Game kwa
wakati ule ilikuwa inakulazimu kumuajiri Designer huyo.
Lakini kwa sasa
ni tofauti kwani Designer wa Sprite na models wako wengi na wengi wao
hutengeneza Sprite na Model na kuziuza na wengine huzitoa bure Bofya hapa ili ku-download Sprite na model Bure.
Hivyo basi ili uamini kuwa mtu mmoja anaweza kutengeneza Game endelea kusoma
Makala hii au jiunge na Chuo chetu ili uweze kujifunza zaidi.
Na sababu
nyingine ni kuwa program za kutengeneza Game ziliuzwa kwa bei kali zaidi kwahio
mtu binafsi hakuwa na uwezo wa kumudu bei hio labda kwa makampuni pekee ndiyo
yalikuwa na uwezo wa kumudu bei hiyo. Lakini kwa sasa program hizo huuzwa kwa
bei nafuu na imani kuwa kila mtu anaweza kumudu bei hiyo na program nyingine
unaweza kuzipata bure.
Kumbuka sio kila
IT anaweza kutengeneza Game. Kwani Game Maker ni Course inayo jitegemea kama
zilivyo kozi zingine na kwa Tanzania Course hii imeanza Kutolewa mwaka 2012
kwahio wajuzi ni wachache.
Kwani hata katika Chuo ninacho fundisha fani
hii ya Game maker. Mlimani training College. tumeanza kuitoa mwaka 2014. Kwahio na maana kuwa IT wa Tanzania
kuwanzia miaka ya 90 mpaka 2012 hawakuwa na ujuzi huo ndio maana walikuwa
hawana uwezo wa kujibu Swali hilo. Kwani mpaka sasa vyuo vinavyo toa course hii
ya GAME MAKER ni vyuo 6 tu hapa Tanzania kikiwemo chuo Cha Mlimani training College.
Kwahio ili uweze kutengeneza Game lazima ujue mambo
yafuatayo
1 lazima uwe na Program ambayo itakuwezesha kutengeneza Game Yako.
Kuna program nyingi ambazo hutumika kutengeneza Game kwahio nitakufahamisha Programu 5 ambazo ni rahisi kutengeneza Game na Program hizo ni.
5.
SOUCE ENGENE
Kama utaitaji CD Original ya program
hii Tuwasiliane.
4.
FROSBITE
ENGENE
Kama utaitaji CD Original ya program
hii Tuwasiliane.
3. CRYENGINE ENGENE
Kama utaitaji CD Original ya program
hii Tuwasiliane.
2.
UNREAL
ENGENE
Kama utaitaji CD Original ya program
hii Tuwasiliane.
1.
UNITY3D
ENGENE
Kama utaitaji CD Original ya program
hii ya Unity3D kuanzia Unity3D 4.3 mpaka 5.6 Tuwasiliane.
Baada
ya kuziona Programu hizo sasa tunatakiwa ni kuchagua Programu moja kati ya
hizo. Mimi nime chagua Unity3D kwani ndio program Bora Zaidi duniani na ndio
Programu ambayo inatumiwa na watu wengi Duniani. Kama unataka CD Original ya Unity3D 4.3 mpaka 5.6
tuwasiliane kupitia namba yangu 0718553004 au
Email Msafiryo01@gmail.com kwani utapata CD yako
original ambayo itakuwa na asset zote .
Baada
ya kuchagua Unity3D kama programu ambayo tutakayo itumia kutengeneza Gamu yetu.
kwanza ili tuweze kutengeneza kitu chochote katika Computer lazima tuijuwe
program husika 50% hadi 80% hivyo hivyo kwa Unity3D itatulazimu tuijua 80% ili
tuwe na ujuzi nayo.
Kwaho
baada ya ku-Install programu yako ifungue na Itaonekana kama katika picha hapo
chini.
Muonekano huu ni kwa Unity3D 5.1
Baada
ya kuchunguza picha yetu hapo juu tumeona program yetu imegawanyika katika
sehemu tofauti tofauti na ndizo sehemu ambazo tutaziangalia kwa undani zaidi.
Sehemu hizo ni Inspector window, Hierarchy window, project
window, Scene View, Main Menu na ToolBar.
MAIN MENU
The
Main Menu is the menu at the top of the application window. It is organized
into a logical set of “tasks” that you would need to access while you work on
the project.
Hierarchy window ukuruhusu kuangalia na ku-edit vitu vyote katika selected
object. Kwa sababu tofauti ya objects ni kuwa na Set tofauti.
Kama
utachunguza kwa umakini katika Inspector window
utaona kitu kinachoitwaTransform na wengi
huuliza mashali mengi na kama hauta ni
elewa vizuri katika kipengele hiki basi hatuta elewana mbele ya safari kwani
ili tu-Move Object yetu ni lazima tutumie Transform.
Transform
ndio main Edit katika Unity3D kwani huwezi ku-edit Object yeyote bila ya kuiusisha
transfom kupitia Transform Tool. Na Transform ni kama inavyo onekana katika picha hapo
chini.
Transform
imegawanyika katika sehemu kuu Tatu. Vector, Velocity na Translate
VECTOR
Vector ina maana ya namba ambazo
zinapatikana katika Transform.
Mfano wa Vector
Position
(0, 0, 0)
Rotation (0, 0, 0)
Scale (1, 1, 1)
Vector
imegawanyika katika Sehemu kuu 4 nazo ni Vector, Vector 2, Vector 3 na Vector 4.
nikisema
vector na maana ya namba ambazo zinapatikana katika Transform. mfano kuna sufuri tatu yaani 0, 0, 0 katika Transfom yetu. Hivyo basi kila sufuri moja ina maana ya Vector.
Hivyo kila sufuri ni vector. kwahio nikisema Vector 1 na maana ya sufuri moja
miongoni mwa sufuri Tatu. kwahio Vector 2 ni sufuri Mbili na nikisema Vector 3
Na maana ya sufuri Tatu hivyo hivyo kwa Vector 4 japokuwa Vector 4 katika
Unity3D ni Useless.
VELOCITY
Velocity ina maana ya x, y, z nayo piya hupatikana
katika Transform. Kwahio kila herufi ina maana yake.
Alama
X inawakilisha Horizonal . Na alama Y inamaana ya Vertical na herufi Z inamaana
ya forward.
Mfano - 1
Velocity.y mfano huu unamaana ya kuwa move object yako vertical.
Velocity.x mfano huu unamaana ya kuwa
move object yako Horizonal.
Mfano - 2
Position (X, Y, Z)
Rotation
(X, Y, Z)
Scale
(X, Y, Z)
TRANSLATE
Translate na maana ya Gizmo kama
unavyo iona katika picha hapo juu.
TOOLBAR
Kama
utachunguza katika picha ya Toolbar hapo juu utagungua imegawanyika katika
sehemu kuu 5 nazo ni Transform Tools, Gizmo Tools, Game Player Contols, Layer
Visibility na Layerout.
Heirarchy window Huwakilisha kila object katika Scene
PROJECT WINDOW
Project window huonyesha Library ya Asset ambayo hupatikana na
kutumika katika Project yako
SCENE VIEW
The Scene View hukuruhusu kuona na kuhariri Scene yako.
Swala
linguine la ulazima kujuwa ili uweze kutengeneza game ni
2. Game Maker
Game
maker ni kipengele muhimu kwani ndio kipengele ambacho hukufundisha jinsi ya kutengeneza
game lako mwenyewe. Na kipengele hichi cha Game maker kimegawachika katika
sehemu mbalimbali nazo ni
Player movement all Direction, Horizontal, Vertical, Jumping and
Double Jump
Enemy movement and Patrol
Player Shooting
Enemy Healthy
Enemy Shooting
Player Healthy
Score when Kill Enemy.
Particle
Enemy Flying
Moving Platform
Push Platform
Projecte
Time
Menu
Level Select
Pallarix
Camera Controller
Coin Rotate and Pick Up
Door
Check point
Respawner
Wall climb
Tuishie
hapo kwani orodha ni ndefu zaidi tutaona zaidi katika videos nitakazo kuandalia
juma lijalo unacho takiwa ni kuwa Update na blog hii ili usipitwe na uhondo
huu. Kumbuka orodha Hii ni kwa Game za
Shooting tu.
Na
orodha ya Game za RACE na maanisha CAR Race ni
1. Car movement.
2. Car boarder.
3. Add Enemy Car.
4. Enemy Car movement.
5. Enemy Car Spawner Position.
6. End Point Enemy.
7. Effect and Animation.
8. Car Enemy Dead.
9. Next Level.
Navitu
vya ziada ni kama Animal movement, Animation, Attack
na Patrol.
3. Animation.
Huu
ndio ukurasa muhimu katika fani hii kwani kama haujui ku-Animation Object yako
Basi object hio itakosa mvuto.
4. Game Designer.
Game
hukosa mvuto kabisa kama uta-Design vibaya Game yako kwani mvuto wa Game uko
katika Designer kwahio kuwa makini wakati wa ku-Design game yako.
Hapo
nazani utakuwa umekwisha pata program Skill ya kutosha sasa Kuwa Update na Blog
hii ili usipitwe na uhondo huu.
MASOMO YAFUATAYO NI
JIFUNZE JINSI YA KUTENGENEZA GAME BILA YA KUJUA LUGHA YA
COMPUTER.
JIFUNZE LUGHA YA COMPUTER.
JIFUNZE JINSI YA KUTENGENEZA APPLICATION.
ART KATIKA
MODEL NA SPRITE DESIGNER.
NA MENGINEYO
MASOMO HAYA YATALETWA
KWENU NAMI MWALIMU MSAFIRY_OM NA YAKIZAMINIWA
NA MLIMANI TRAINING
COLLEGE ILIYOPO MKOANI KIGOMA. NA KAMA
UTAITAJI KUPATA CHETI CHA GAME DEVELOPER BASI JIUNGE NA CHUO CHETU. wahi mapema
kwani nafasi ni chache. Wasiliana na mkuu wa chuo kwa email mlimaniCole@gmail.com