Kama unafikiria
ku-Update simu yako ya Samsung kuna njia nyingi za kufanya ikiwemo njia maalumu
ya kutumia Samsung Kies, lakini wengi wetu hua pia Application hiyo ya Samsung
Kies haifanyi kazi pia kwa hiyo unabakia na nja moja tu yak u-Update simu yako,
zifuatazo ni njia za ku-flash au ku-update Sumsung original.
VITU
UNAVYOITAJI
1. Utaitaji Computer yenye uwezo wa
kawaida inayotumia Window 7, 8 au 10.
2. Waya wa USB Original wa simu yako.
3. Pia utaitaji Internet at list GB 1 au
zaidi.
4. Utaitaji Software ya Computer iitwayo
Odini download hapa
5. Pia kwa uhakika download na Install
Driver za Sumsung kwenye Computer yako . Download hapa
6. Download Firmware ya simu yako
Download hapa.
NOTE:
KUMBUKA KUZIMA APPLICATION YA SAMSUNG KIES KABLA UJAWASHA ODINI.
NAMNA YA KU-FLASH
1. Baada ya kudownload odin 3.09 Extract
2. Hakikisha Samsung Kies imezimwa
kabisa kwenye Computer yako
3. Zima Simu yako na hakikisha imezima
kabisa.
“ Power + Volume Down + Home “ kwa pamoja ilikuweka simu kwenye “ Download Mode “
4. Connect Simu yako kwenye PC au
Computer Cable Original ya simu yako.
5. Right Click kwenye Odin kasha select “
Run as administractor “
7. Kuna Sehemu ilioandikwa ID:COM
inayopatikana upande wa kushoto juu kwenye window ya Computer yako sehemu hiyo
itabadilika kuwa rangi ya blue kama simu yako itakuwa Connected vizuri.
8. Bonyeza “ AP “ kasha weka file
liitwalo “.md5 ” kutka kwenye mahitaji Namba 6.
9. Kumbuka usiweke chochote kwenye
sehemu ilioandikwa “PIT” pia hakikisha sehemu iliyoandikwa “RE-Partition”
Haijawekwa tiki. Sehemu hii inapatikana upande wa kushoto chini ya Opition.
10.
Ukisha
maliza bonyeza “Start” kuanza ku-Flash simu yako.
11.
Usiguse
USB au Simu yako mpaka itakapo jiwasha yenyewe .
KUMBUKA KUWA
MAKINI SANA KWANI UNAWEZA KUHARIBU KABISA SIMU YAKO KAMA UTAKOSEA