JINSI YA KUFLASH SIMU ZA SAMSUNG

Kama unafikiria ku-Update simu yako ya Samsung kuna njia nyingi za kufanya ikiwemo njia maalumu ya kutumia Samsung Kies, lakini wengi wetu hua pia Application hiyo ya Samsung Kies haifanyi kazi pia kwa hiyo unabakia na nja moja tu yak u-Update simu yako, zifuatazo ni njia za ku-flash au ku-update Sumsung original.
VITU UNAVYOITAJI

1.    Utaitaji Computer yenye uwezo wa kawaida inayotumia Window 7, 8 au 10.
2.    Waya wa USB Original wa simu yako.
3.    Pia utaitaji Internet at list GB 1 au zaidi.
4.    Utaitaji Software ya Computer iitwayo Odini download hapa
5.    Pia kwa uhakika download na Install Driver za Sumsung kwenye Computer yako . Download hapa
6.    Download Firmware ya simu yako Download hapa.

NOTE: KUMBUKA KUZIMA APPLICATION YA SAMSUNG KIES KABLA UJAWASHA ODINI.

NAMNA YA KU-FLASH

1.    Baada ya kudownload odin 3.09 Extract
2.    Hakikisha Samsung Kies imezimwa kabisa kwenye Computer yako
3.    Zima Simu yako na hakikisha imezima kabisa.
“ Power + Volume Down + Home “ kwa pamoja ilikuweka simu kwenye  “ Download Mode “
4.    Connect Simu yako kwenye PC au Computer Cable Original ya simu yako.
5.    Right Click kwenye Odin kasha select “ Run as administractor “
6.    Hivi ndivyo inatakiwa kuonekana.




7.    Kuna Sehemu ilioandikwa ID:COM inayopatikana upande wa kushoto juu kwenye window ya Computer yako sehemu hiyo itabadilika kuwa rangi ya blue kama simu yako itakuwa Connected vizuri.
8.    Bonyeza “ AP “ kasha weka file liitwalo “.md5 ” kutka kwenye mahitaji Namba 6.
9.    Kumbuka usiweke chochote kwenye sehemu ilioandikwa “PIT” pia hakikisha sehemu iliyoandikwa “RE-Partition” Haijawekwa tiki. Sehemu hii inapatikana upande wa kushoto chini ya Opition.
10.                       Ukisha maliza bonyeza “Start” kuanza ku-Flash simu yako.
11.                       Usiguse USB au Simu yako mpaka itakapo jiwasha yenyewe .


KUMBUKA KUWA MAKINI SANA KWANI UNAWEZA KUHARIBU KABISA SIMU YAKO KAMA UTAKOSEA