JINSI YA KU-UNLOCK MODEMU YAKO

jinsi ya kuUNLOCK modem Yako

Hatua za ku-unlock Modem
1.Angalia IMEI ya modem yako kisha iandike chini au kwenye karatasi

2.Fungua link hii BOFYA HAPA

3.Baada ya kufungua hiyo link utaona sehemu ya iliyoachawa wazi hapo uweka IMEI ya Modem kisha utabofya kwenye kitufe cha CALCULATE

4.Baada ya ku-calcute utapata Unlock Code zako, Mfano: Unlock: 37661250 or NCK = 37663240


Hatua zinazofuata
1.Baada ya yote unatakiwa kutoa Sim card na Kuweka Sim Card tofauti kwa mfano kama ulikuwa unatumai ya Tigo unatakiwa uweke Airtel kisha chomeka kwenye PC yako .

2.Subiri kidogo , utaona Pop Up imekuja kisha itaku-request for Unlock Code, Kisha Utaingiza Code ulizo Generate , mfano 37661250 alafu click kwenye OK.

3.Hongera!, Modem yako isha-unlockiwa hapo utaweza kutumia kwenye Sim Card Yoyote!